ycliper

Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
Скачать

KIJIJI cha IVUNGWE WAOMBA ZAHANATI KUPUNGUZA VIFO vya WAJAWAZITO na WATOTO

Автор: The Katavi Independent

Загружено: 2025-04-07

Просмотров: 206

Описание: #thekataviindependent Wakazi wa kijiji cha Ivungwe Kata ya Katumba halmashauri ya Nsimbo mkoani Katavi, wameomba kujengewa zahanati ili kuepusha kina mama wajawazito kujifungulia njiani kutokana na kutembea umbali mrefu kufuata huduma za Afya kijiji cha jirani.

Wananchi hao wamewasilisha kilio chao kwa Mbunge wa Jimbo la Nsimbo Anna Lupembe mara baada ya kufika katika kijiji hicho kusikiliza kero za wananchi na kuzipatia ufumbuzi.

Baada ya kupokea changamoto hiyo Lupembe alipokea taarifa ya kifo cha mama na mtoto aliyefariki wakati wa kujifungua na kwenda kuwapa pole wafiwa.

Mbali na kusikiliza kero za wananchi Lupembe ameendelea kutembelea miradi mbalimbali ya elimu inayotekelezwa katika Kata hiyo ambapo amekagua ukarabati wa vyumba viwili vya madarasa na ofisi ya Shule ya msingi Ivungwe unaoendelea kutokana na mvua kubwa iliyoambatana na upepo mkali kunyesha hali iliyopelekea baadhi ya wanafunzi kukosa madarasa ya kusomea.

Aidha ameweka jiwe la msingi mradi wa bweni la shule ya Sekondari Katumba ambapo akiwa katika eneo la soko la Mnyaki alipokea kero kutoka kwa fundi anayetekeleza mradi huo kukerwa na kitendo cha wazazi kuwazuia watoto wao kulala katika mabweni yanayojengwa na Serikali na badala yake kuwapangishia vyumba mtaani hali ambayo inasababisha baadhi ya mabinti kuolewa na vijana kuoa.

Kwa upande wake Mbunge wa Jimbo la Nsimbo Anna Lupembe amewataka wazazi kuwaruhusu watoto kulala katika mabweni hayo ili kurahisisha mazingira ya usomaji kwa wanafunzi hao.

Aidha Lupembe amesema Rais Dokta Samia Suluh Hassan anaendelea kuboresha miundombinu ya shule na kuongeza walimu ili watoto wasome katika mazingira yaliyo bora.
===================================================================
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ Wasiliana na The Katavi Independent: +255 759 119 954 au +255 762 297 707
⚫️ Email: [email protected]
⚫️ Tufollow Instagram: https://bit.ly/3I6Qmae
⚫️ Tufollow X: https://bit.ly/49j2Jff

Не удается загрузить Youtube-плеер. Проверьте блокировку Youtube в вашей сети.
Повторяем попытку...
KIJIJI cha IVUNGWE WAOMBA ZAHANATI KUPUNGUZA VIFO vya WAJAWAZITO na WATOTO

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио

Похожие видео

MH. RAIS KANIPA MIL. 50 | MB. NSIMBO

MH. RAIS KANIPA MIL. 50 | MB. NSIMBO

Jackson Yusuph x Christopher Mwahangila x Aniset Butati - Kuna Mungu (Official Video)

Jackson Yusuph x Christopher Mwahangila x Aniset Butati - Kuna Mungu (Official Video)

Mpanda Town Tour 2023 part 2

Mpanda Town Tour 2023 part 2

🔥Тегеран ПЫЛАЕТ! Израиль ударил ТУДА, куда Иран НЕ ЖДАЛ. Трамп В ЯРОСТИ.Срочно обратился к НЕТАНЬЯХУ

🔥Тегеран ПЫЛАЕТ! Израиль ударил ТУДА, куда Иран НЕ ЖДАЛ. Трамп В ЯРОСТИ.Срочно обратился к НЕТАНЬЯХУ

Mh. Anna Lupembe ameuliza swali kwa Naibu waziri wa Habari na Mawasiliano kuhusu huduma litapunga

Mh. Anna Lupembe ameuliza swali kwa Naibu waziri wa Habari na Mawasiliano kuhusu huduma litapunga

😯ГУДКОВ: Так вот почему ПУТИНУ СТАЛО ПЛОХО! В Москве СРОЧНО ВСЕХ ПОДНЯЛИ. Дикий ВОЙ в Кремле

😯ГУДКОВ: Так вот почему ПУТИНУ СТАЛО ПЛОХО! В Москве СРОЧНО ВСЕХ ПОДНЯЛИ. Дикий ВОЙ в Кремле

MAMLAKA ya MJI MDOGO KATESH YAZINDUA BARAZA LAKE, UONGOZI WATILIA MKAZO UFUGAJI MJINI

MAMLAKA ya MJI MDOGO KATESH YAZINDUA BARAZA LAKE, UONGOZI WATILIA MKAZO UFUGAJI MJINI

Sendiga: Tushiriki kuwalinda Watoto dhidi ya Ukeketaji

Sendiga: Tushiriki kuwalinda Watoto dhidi ya Ukeketaji

FIGA KOLISA À NKAYI

FIGA KOLISA À NKAYI

WATOTO WAMTAKIA AFYA NJEMA RAIS kwa KUWAKUMBUKA WENYE UHITAJI.

WATOTO WAMTAKIA AFYA NJEMA RAIS kwa KUWAKUMBUKA WENYE UHITAJI.

MAELEKEZO ya RC SENDIGA KWA MKANDARASI AKISAINI MKATABA wa MRADI wa BILIONI 3.6 HANANG

MAELEKEZO ya RC SENDIGA KWA MKANDARASI AKISAINI MKATABA wa MRADI wa BILIONI 3.6 HANANG

HANANG' YAFUNGUA POCHI kwa VIJANA, WANAWAKE na WENYE ULEMAVU.

HANANG' YAFUNGUA POCHI kwa VIJANA, WANAWAKE na WENYE ULEMAVU.

RC KATAVI AFIKISHA ZAWADI ZA RAIS kwa WAHITAJI, ATOA UJUMBE HUU.

RC KATAVI AFIKISHA ZAWADI ZA RAIS kwa WAHITAJI, ATOA UJUMBE HUU.

WARAIBU WAOMBA UWEZESHAJI, KUKOMESHA UNYANYAPAA

WARAIBU WAOMBA UWEZESHAJI, KUKOMESHA UNYANYAPAA

WAZIRI DKT. HOMERA ASISITIZA HUDUMA ZA KISHERIA NA UWAJIBIKAJI, VIONGOZI MKOA WA KATAVI WAPONGEZWA

WAZIRI DKT. HOMERA ASISITIZA HUDUMA ZA KISHERIA NA UWAJIBIKAJI, VIONGOZI MKOA WA KATAVI WAPONGEZWA

😮БЕРЕЗОВЕЦ: Сенсационный СЛИВ из США! Трампа РАЗНЕСЛИ из-за ЗАЯВЛЕНИЯ о Москве! Слушайте, ЧТО ВЫДАЛ

😮БЕРЕЗОВЕЦ: Сенсационный СЛИВ из США! Трампа РАЗНЕСЛИ из-за ЗАЯВЛЕНИЯ о Москве! Слушайте, ЧТО ВЫДАЛ

РВАНУЛИ ПЕРВЫЕ ЯДЕРНЫЕ РАКЕТЫ Ирана! БОМБОНУЛ Орешник в Тегеране: ПРАВДА о Kheibar ВЗОРВАЛАСЬ

РВАНУЛИ ПЕРВЫЕ ЯДЕРНЫЕ РАКЕТЫ Ирана! БОМБОНУЛ Орешник в Тегеране: ПРАВДА о Kheibar ВЗОРВАЛАСЬ

TUNAWEZA KUKARABATI BARABARA KUPITIA MAPATO ya NDANI ENDAPO TUTAKUSANYA VIZURI.

TUNAWEZA KUKARABATI BARABARA KUPITIA MAPATO ya NDANI ENDAPO TUTAKUSANYA VIZURI.

SHUHUDIA RC QUEEN SENDIGA ALIVYOSHIRIKI CHAKULA na WANAFUNZI.

SHUHUDIA RC QUEEN SENDIGA ALIVYOSHIRIKI CHAKULA na WANAFUNZI.

«Харах далыгар» (08.03.26)

«Харах далыгар» (08.03.26)

© 2025 ycliper. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: [email protected]