1||KUJIWEKA WAKFU - Joshua
Автор: Gwakisa Mwaipopo
Загружено: 2026-01-19
Просмотров: 49
Описание:
Jumapili iliyopita tulianza kwa ukweli mmoja wa msingi: kabla Mungu hajafanya kazi ya kina ndani yetu, kuna mwanzo mmoja anaoutafuta—kujiweka wakfu.
Kujiweka wakfu si kauli ya kuhamasisha tu; ni uamuzi wa kujitenga na kila kinachogawanya moyo, na kujitoa kwa Mungu kikamilifu—sisi binafsi na familia zetu. Tunapojiweka wakfu, tunamruhusu Mungu afanye kazi kwa uhuru maishani mwetu; ili awe Bwana wetu, Mfalme wetu, Mwokozi wetu, Mungu wetu, Msaidizi wetu, na Mshauri wetu. Mungu anapopewa nafasi ya kwanza, maisha huanza kurudi kwenye mpangilio, nguvu hurudi, na mwelekeo huwa wazi.
Hii ilikuwa Sehemu ya Kwanza tu. Somo linaendelea Sehemu ya Pili Jumapili ijayo.
Karibu Voice of Hope Online Sunday Fellowship:
Jumapili | 09:00–10:30 AM
Kupitia Zoom na kusambazwa YouTube (Live)
Madhehebu yote yanakaribishwa.
Tuma ujumbe “NIKO TAYARI” ili upate link.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: