Mahakama ya Mombasa yasikiliza ushahidi kuhusu mauaji ya Shakahola
Автор: Citizen TV Kenya
Загружено: 2026-02-25
Просмотров: 602
Описание: Mahakama ya Mombasa imeendelea kufahamishwa namna mauaji ya itikadi za kidini katika msitu wa shakahola yalivyofanyika. Enos amanya aliyehudumu kama mmoja wa walinzi ameiambia mahakama kuhusu ni kwanini aliamua kuwa shahidi dhidi ya Paul Mackenzie aliyekuwa akifuata amri zake akisema alikerwa naye alipojitaja kuwa yesu
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: