Familia ya mwanamume aliyeskumwa kutoka kwa basi la abiria yaomba uchunguzi wa kina wa kifo chake
Автор: Citizen TV Kenya
Загружено: 2026-02-25
Просмотров: 14505
Описание: Familia ya mwanamume aliyeripotiwa kusukumwa kutoka kwenye basi la abiria kwenye barabara ya Kitengela - Namanga sasa inataka uchunguzi wa kina kufanywa kuhusu kifo tata cha jamaa yao. Familia ya Joseph Mureithi inadai kuwa alisukumwa kutoka kwenye basi lililomkanyaga na kisha kuondoka kutoka eneo la tukio. Polisi tayari wamemkata dereva na kondakta wa basi hilo
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: