Kamati ya usalama Samburu yawanasa washukiwa 10 wa wizi wa kimabavu Maralal
Автор: Citizen TV Kenya
Загружено: 2026-02-25
Просмотров: 656
Описание: Kamati ya usalama katika kaunti ya samburu imefanikiwa kuwanasa washukiwa kumi wa wizi wa kimabavu katika mji wa Maralal. Washukiwa hao wanakisiwa kuwa ndio wamekuwa wakiwahangaisha wafanyabiashara mjini humo viunga vyake.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: