KONGA NA USWAZI | HAMNA MCHEZO RAHISI🤣🤣🙌
Автор: MUUNGWANA ONE TV
Загружено: 2026-01-29
Просмотров: 147
Описание:
KONGA NA USWAZI
Hiki ni kipindi ambacho kimeandaliwa na Team Muungwana One tv ( Management), kwa lengo la kujenga uhusiano na umoja bora kwa kwa rika zote (Vijana, wazee, akina Mama, na watoto kwenye jamiii bila kuchangua dini Wala kabila la mtu).
Pia ni kipindi ambacho kimeandaliwa na kutoa fursa kwa Kila mmoja kuchangia mawazo na mtazamo wake chanya kwa ajili ya Maendeleo ya Kila mmoja , au kundi kwenye jamii yetu iliyotuzunguka.
Konga na uswazi, kipindi hichi ni tiba ya afya ya akili kwasababu ni Kipindi ambacho tunapata fursa ya kuburudika, watu hufurahi Sanaa wakati wa mchezo, hvyo akili huchangamka na hupunguza msongo wa mawazo ambayo ni hasi kwenye jamii yetu.
Konga na Uswazi, ni kipindi kipya ambacho tunaamini vijana wengi wamekipokea na wataendelea kukipokea kuanzia ngazi ya Kijiji hadi Taifa, kwasababu kinaelimisha, na kuburudisha.
Fans tuendelee kusupport kipindi chetu konga na Uswazi na channel yetu MUUNGWANA ONE TV 🙏
THANKS
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: