DIWANI NA MW/KITI, ALIYEKABIDHIWA HALMASHAURI (W) MASASI AANZA MIKAKATI THABITI KWA WANANCHI WAKE
Автор: MUUNGWANA ONE TV
Загружено: 2026-02-08
Просмотров: 104
Описание:
Diwani wa kata ya Ndanda na ni Mw/kiti wa Halmashauri ya wilaya ya Masasi . Mh Bashiru Mboneche amefanya mkutano na wananchi wake wa kijiji cha Njenga 07 February 2026
Mkutano ambao wa awali huku akianza kuwashukuru wananchi wote waliompigia kura za ndio na kuwa diwani wa kata ya Ndanda.
Aliendelea kusema, imekuwa bahati kubwa kwake kwa maana amepiga hatua nyingine kuchakuliwa kuwa Mwenyekiti wa Halmashauri ya Masasi hii sio kwa ujanja wake, bali ni sifa na maombi ya wananchi wote kwa kuanzia ndani ya Kata yake ya Ndanda.
Pia ameahidi watu wote kupata fursa sawa kwa kila mmoja kwa namna atavyopambana kwa Kata yake na Halmashauri ya Masasi kwa ujumla.
wanawake wana haki sawa, na wengine. wanawake wanaweza hvyo atapambana kadri ya uwezo wake, hata kwa Ile mikopo ya wajisiliamali makundi ya akinamama wapate.
alimalizia kwa kusema kwa Pamoja na umoja wetu hakika tunasonga mbele
Update
muungwana One tv
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: