ONA MKUTANO MZITO WA WALIMU WAKUU WILAYA YA MASASI, ULIVYOIBUA CHANGAMOTO NA FURSA.
Автор: MUUNGWANA ONE TV
Загружено: 2026-02-19
Просмотров: 327
Описание:
MKUTANO MKUU WA WALIMU WAKUU WILAYA YA MASASI.
Uongozi wa ngazi za juu, yapaswa kuwajibika kwa Pamoja na watumishi wa ngazi ya chini Ili kuweza kutambua changamoto zao
Na kuzigeuza kuwa fursa ambayo italeta chachu ya kiutandaji na hatimaye kuleta matokeo chanya ya kielimu.
kaulimbiu
"Kuwajibikaji wa Pamoja huleta matokeo chanya ya kielimu "
Mkutano uliofanyika 17 Feb 2026, uliohudhuriwa na Mh Bashiru Fakihi Mboneche, Mwenyekiti wa Halmashauri ya ya Masasi, na viongozi wengine.
Mkutano uliendeshwa na Mwenyekiti wa walimu Wilaya ya Masasi Ndugu.. Ernest Sanford.
update
Muungwana One tv 🙏
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: