Uchaguzi mdogo unaendelea eneobunge la Isiolo south
Автор: Citizen TV Kenya
Загружено: 2026-02-26
Просмотров: 693
Описание: Uchaguzi mdogo unaendelea katika eneobunge la Isiolo Kusini huku wakazi wakielekea debeni kumchagua mbunge wao. kiti hicho kimewavutia ndugu na dada, Tubi Mohammed Tubi na Bina Tubi, Wanaotaka kumrithi baba yao mohammed tubi, aliyefariki novemba mwaka jana.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: