Maelfu ya Wakenya wakumbwa na vita Ukraine, familia zikibakia bila majibu
Автор: Citizen TV Kenya
Загружено: 2026-02-26
Просмотров: 3219
Описание: Maelfu ya Wakenya wamejipata kwenye vita vinavyoendelea kati ya Ukraine na Urusi, na kuwacha familia kadhaa hapa zikiomboleza vifo au hata kupotea kwa jamaa zao. Licha ya familia nyingi kudai majibu kutoka kwa serikali, wengi wamesalia bila majibu ya walipo jamaa zao huku serikali ikikiri mtandao mpana unaohusisha hata maafisa wa serikali na wale wa usalama.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: