Mtu mmoja auwawa, wengine 10+ wakijeruhiwa baada ya kushambuliwa na nyuki Loikas, Samburu
Автор: Citizen TV Kenya
Загружено: 2026-02-26
Просмотров: 3202
Описание: Mtu mmoja ameuawa baada ya kuumwa na nyuki huku wengine zaidi ya kumi wakichwa na majeraha kwenye tukio hilo eneo la Loikas, Maralal kaunti ya Samburu. Inaripotiwa kuwa nyuki hao walivamia wakazi huku maafisa wa usalama wakiwa na wakati mgumu hata kuutoa mwili wa marehemu
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: