Askofu Rwoma: Msishangae mafratel siku mkiitwaa Baby/ Mtoto anaita baba baby/ vaa jiheshimu
Автор: Radio Mbiu
Загружено: 2020-04-03
Просмотров: 1450
Описание:
Ni Askofu wa Jimbo Katoliki la Bukoba Askofu Desderius Rwoma, alipowaasa Waseminary kutoka Seminary Kuu ya Mt. Anthony wa Padua Ntungamo, Jimbo Katoliki la Bukoba katika siku ya kuwavalisha makanzu mafratel wapya.
Katika homilia yake Askofu Rwoma aliwaasa mafratel hao kujiheshimu na kutambua wito wao na kuwa nadhifu kutokana na wito walioitiwa na kutambua wao ni kioo katika Kanisa mahalia.
www.radiombiu.co.tz
#RmSautiYaFaraja
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: