Maaskofu na Mapadre wakitoa heshima kwa Marehemu Mwalimu Paulo Ikula -Bukoba
Автор: Radio Mbiu
Загружено: 2026-02-01
Просмотров: 6373
Описание:
PICHA JONGEFU || MISA YA MAZISHI KANYIGO - BUKOBA
Maaskofu,Mapadre na Watawa, wakitoa heshima ya mwisho, katika adhimisho la Misa Takatifu ya mazishi ya Marehemu Mwalimu Paulo Ikula, Baba mzazi wa Padre Revocatus Ikula, Paroko wa Parokia ya Mtakatifu Paulo Mwinjili -Tegeta, Jimbo Kuu Katoliki Dar es salaam.
Misa Takatifu imeadhimishwa na Mhashamu Jovitus Mwijage, Askofu Jimbo Katoliki Bukoba, nyumbani kwao Kanyigo - Jimbo Katoliki Bukoba.
Raha ya milele umpe ee Bwana na mwanga wa milele umwangazie apumzike kwa amani Amina.
www.radiombiu.co.tz
#RmSautiYaFaraja
#miaka30uinjilishajiRmTz
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: