Askofu Mkuu Ruwa'ichi: Tutendeane kwa haki na huruma/ Maisha yetu yana lengo na maana.
Автор: Radio Mbiu
Загружено: 2026-03-01
Просмотров: 214
Описание:
Homilia wakati wa adhimisho la Misa Takatifu ya mazishi ya Hayati Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo, aliyekuwa Askofu Mkuu mstaafu wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam.
Misa Takatifu imeadhimishwa na Mhashamu Yuda Thaddeus Ruwa'ichi OFM Cap, Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Dar es salaam, katika Kituo cha Hija Pugu- Dar es salaam.
Kardinali Pengo alifariki Februari 19, 2026 na amezikwa Februari 28, 2026 katika kituo cha Hija Pugu-Dar es Salaam, kwenye kaburi alilochagua na kuliandaa tangu uhai wake.
www.radiombiu.co.tz
#RmSautiYaFaraja
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: