Monsinyori Muchunguzi: "Funga weka malengo"/ Tunasiku za kufunga chakula/ Fanya sikitiko la dhambi.
Автор: Radio Mbiu
Загружено: 2026-02-18
Просмотров: 1665
Описание:
Homilia katika adhimisho la Misa Takatifu ya Jumatano ya Majivu, Kutoka Kanisa Kuu la Bikira Maria Mama Mwenye Huruma -Bukoba, Jimbo Katoliki Bukoba.
Misa Takatifu imeadhimishwa na Monsinyori Samwel Muchunguzi, Makamu wa Askofu Jimbo Katoliki Bukoba.
Tufuatilie katika mitandao yetu ya Kijamii, Facebook, Instagram, YouTube kote kwa jina la Radio Mbiu.
www.radiombiu.co.tz
#RmSautiYaFaraja
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: