EXCLUSIVE: Kafulila afunguka, kaeleza alivyoitwa Tumbili na kutishiwa kukatwa kichwa
Автор: Millard Ayo
Загружено: 2017-07-27
Просмотров: 9508
Описание: Hivi karibuni Rais Magufuli akiwa kwenye ziara ya kikazi katika Mkoa Kigoma, alimsifia na kumpongeza Mbunge wa zamani wa Kigoma Kusini, Daivd Kafulila kwa kuliibua sakata la Tegeta Escrow ingawa wengine walimuita Tumbili. Ayo TV inaye Kafulila kwenye Exclusive na kaeleza kila kitu.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: