NDOA ya DAVID KAFULILA na JESCA KISHOA YAVUNJWA RASMI – "WATOTO KUWAONA MWISHO wa WIKI"
Автор: Global TV Online
Загружено: 2023-03-03
Просмотров: 4329
Описание:
NDOA ya DAVID KAFULILA na JESCA KISHOA YAVUNJWA RASMI – "WATOTO KUWAONA MWISHO WA WIKI"
Kituo Jumuishi Huduma za Kimahakama, Mirathi na Ndoa cha Temeke jijini Dar es Salaam kimeivunja rasmi ndoa kati ya wanasiasa David Kafulila na Jesca Kishoa kupitia shauri la ndoa Namba 217 la mwaka 2022.
Ndoa hiyo iliyofungwa Aprili 22, 2014 ilivunjwa rasmi Februari 20, 2023 baada ya wawili hao kutengana tangu mwaka 2019 kabla ya Mahakama kuona ndoa hiyo imevunjika kiasi cha kutorekebishika.
Wakati hati ya madai ikionesha kiini cha mgogoro huo ni ugomvi na utengano, Mahakama imevunja ndoa baina ya wawili hao huku ikitoa amri kwa mama kubaki na watoto na kila mzazi kuwa na wajibu wa kuchangia gharama za matunzo kwa asilimia 50 na kama baba atataka kuona watoto, basi ni kila mwisho wa wiki.
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx
⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: • GLOBAL COMEDY/MOVIES
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: [email protected] OR [email protected]
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo na Burudani Tanzania!
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: