Kafulila: Naunga Mkono Juu Ya Hatua Zinazochukuliwa na Rais Sakata La Escrow
Автор: Global TV Online
Загружено: 2017-06-20
Просмотров: 23486
Описание:
Visit https://globalpublishers.co.tz/, Subscribe / uwazi1
KADA maarufu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), David Kafulila amesema anaunga mkono hatua zote zinazochukuliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Magufuli juu vita ya ufisadi uliofanyika ikiwemo sakata la wizi wa fedha za umma, kupitia akaunti ya Tegeta Escrow na madini yanayosafirishwa ndani ya mchanga (makinikia).
Visit https://globalpublishers.co.tz/, Subscribe / uwazi1
Katika mahojiano maaluma na Global TV Onlin leo jioni, Kafulila ambaye aliwahi kuwa Mbunge wa Kigoma Kusini kupitia chama cha NCCR-Mageuzi, ameweka wazi mazingira mengi, tangu alivyoanza kushughulika na sakata la Escrow bungeni mwaka 2014 hadi namna ambavyo alianza kutishiwa maisha na baadhi ya viongozi wa serikali.
Visit https://globalpublishers.co.tz/, Subscribe / uwazi1
Alisema: “Anachokifanya rais ni sahihi kabisa, kwani ni wazi kwamba Watanzania wengi walijua wanaibiwa lakini kujua kwamba wanaibiwa vipi ilikuwa gizani, lakini rais ameweka wazi amzingira yote na namna ambavyo rasilimali zetu zinachukuliwa kwa mtindo usiokuwa na utaratibu maalum, kwa hiyo binafsi naunga mkono asilimia zote juu ya hatua ambazo rais anazichukua juu ya utetezi wa mali za umma na taifa letu.”
Visit https://globalpublishers.co.tz/, Subscribe / uwazi1
Kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chanell yetu kwa kubofya…
/ uwazi1
/ uwazi1
/ uwazi1
WEBSITE: https://globalpublishers.co.tz/
FACEBOOK: / globalpublishers
TWITTER: / globalhabari
INSTAGRAM: / globalpublishers
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: