Rais Magufuli: Kafulila siyo mpinzani bali ni ...., na hajageuka kuwa tumbili
Автор: Azam TV
Загружено: 2018-08-01
Просмотров: 32408
Описание:
Kafulila siyo mpinzani, ni mtekelezaji mzuri wa ilani ya CCM – Rais Magufuli wakati akiapisha viongozi aliowateua hivi karibuni.
Asema “Mimi niliyesimama mbele yenu siyo kwamba nastahili sana kuwa Rais, bali ni wakati Mungu ndiye alitaka mimi niwe Rais wa Tanzania, na ndiyo maana siwezi kusimama mahali popote nikajisifu”
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: