ycliper

Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
Скачать

RC MRINDOKO AKABIDHI OFISI YA MACHINGA NA MAAFISA USAFIRISHAJI.

Автор: KATAVI RS

Загружено: 2025-10-27

Просмотров: 262

Описание: Mkuu wa Mkoa wa Katavi, Mhe. Mwanamvua Mrindoko, amekabidhi jengo jipya la Ofisi ya Machinga na Maafisa Usafirishaji lenye thamani ya shilingi milioni 26, ambalo linatarajiwa kuhudumia wafanyabiashara wadogowadogo zaidi ya 12,000 kutoka ndani ya Mkoa wa Katavi.

Makabidhiano na uzinduzi wa jengo hilo yamefanyika leo, Oktoba 27, 2025, mjini Mpanda, ambapo sambamba na kukabidhi samani na vifaa vya ofisi hiyo, RC Mrindoko amewataka wajasiriamali wa mkoa huo kuchangamkia fursa za mikopo inayotolewa na serikali.

“Jumla ya shilingi bilioni 9 zimetolewa na serikali katika halmashauri za Mkoa wa Katavi ili kuwezesha uendeshaji wa shughuli za kiuchumi kwa wajasiriamali kupitia makundi ya vijana, wanawake na watu wenye ulemavu. Nawaomba makundi haya yaendelee kuthamini mikopo hii na kuitumia ipasavyo,” alisema RC Mrindoko.

Awali, Katibu Tawala Msaidizi upande wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Bw. Florence Chrisant, akimkaribisha Mkuu wa Mkoa, alisema serikali inaendelea kubaini makundi mbalimbali ya kijamii na kuyawezesha ili yajenge uwezo wa kiuchumi.

Akisoma taarifa ya utekelezaji wa mradi huo, Mratibu wa Machinga wa Manispaa ya Mpanda, Bw. Maiko Shabani, alisema kuwa kuwaleta pamoja wafanyabiashara wadogowadogo kutaimarisha ushirikiano kati ya makundi hayo na kuboresha utoaji wa huduma kwa jamii.

Kwa upande wao, viongozi wa makundi hayo wameishukuru serikali kwa kuboresha miundombinu, kuwaratibu, kuwasimamia, pamoja na kuwawezesha kupata mitaji ya kuendesha biashara zao kupitia mikopo ya wamachinga inayotolewa na taasisi za kifedha na halmashauri.

Не удается загрузить Youtube-плеер. Проверьте блокировку Youtube в вашей сети.
Повторяем попытку...
RC MRINDOKO AKABIDHI OFISI YA MACHINGA NA MAAFISA USAFIRISHAJI.

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио

Похожие видео

SERIKALI YAKAGUA MASOKO KATAVI, YASISITIZA USAFI NA BEI STAHIKI ZA BIDHAA.

SERIKALI YAKAGUA MASOKO KATAVI, YASISITIZA USAFI NA BEI STAHIKI ZA BIDHAA.

ГИТЛЕР В ЯРОСТИ: 7 КАЗАХОВ остановили 200 танков МЫЛОМ — через час дивизия ИСЧЕЗЛА

ГИТЛЕР В ЯРОСТИ: 7 КАЗАХОВ остановили 200 танков МЫЛОМ — через час дивизия ИСЧЕЗЛА

KIMENUKA: RIDHIWANI KIKWETE AFICHUA VIGOGO BUNGENI WANAOMSUMBUA, ATOA TAMKO ONYO KWA MA-RC NA MA-DC

KIMENUKA: RIDHIWANI KIKWETE AFICHUA VIGOGO BUNGENI WANAOMSUMBUA, ATOA TAMKO ONYO KWA MA-RC NA MA-DC

Szokujące nokauty! Jak Mike Tyson pokarał tych, którzy go lekceważyli

Szokujące nokauty! Jak Mike Tyson pokarał tych, którzy go lekceważyli

𝐁𝐀𝐁𝐀 𝐋𝐄𝐕𝐎 𝐀𝐖𝐀𝐕𝐔𝐍𝐉𝐀 𝐌𝐁𝐀𝐕𝐔 𝐁𝐔𝐍𝐆𝐄𝐍𝐈 -

𝐁𝐀𝐁𝐀 𝐋𝐄𝐕𝐎 𝐀𝐖𝐀𝐕𝐔𝐍𝐉𝐀 𝐌𝐁𝐀𝐕𝐔 𝐁𝐔𝐍𝐆𝐄𝐍𝐈 - "MIMI na PROFESA MKUMBO TULIFUKUZWA CHADEMA - SITEGEMEI UWAZIRI"

“Телефондон уруксат сурагыдай мен жаш кыз эмесмин”

“Телефондон уруксат сурагыдай мен жаш кыз эмесмин”

Мегапроекты Танзании: трансформация, возрождение нового гиганта.

Мегапроекты Танзании: трансформация, возрождение нового гиганта.

MWENGE WA UHURU KATAVI 2025: RC MRINDOKO ATOA WITO WA UMOJA NA USHIRIKI MKUBWA KWA WANANCHI.

MWENGE WA UHURU KATAVI 2025: RC MRINDOKO ATOA WITO WA UMOJA NA USHIRIKI MKUBWA KWA WANANCHI.

Bunge lamfukuza Kikwete Kazi pamoja na Philip Mpango naye Kassim Majaliwa; Samia Kwisha

Bunge lamfukuza Kikwete Kazi pamoja na Philip Mpango naye Kassim Majaliwa; Samia Kwisha

RC MRINDOKO AAGIZA HATUA KALI KUFUATIA UCHELEWAJI WA MRADI WA DARAJA LA MIRUMBA.

RC MRINDOKO AAGIZA HATUA KALI KUFUATIA UCHELEWAJI WA MRADI WA DARAJA LA MIRUMBA.

RC MRINDOKO AKABIDHI HUNDI YA SHILINGI BILIONI 1.7 KWA WANANCHI WALIOPISHA ENEO LA UPANUZI WA CHUO.

RC MRINDOKO AKABIDHI HUNDI YA SHILINGI BILIONI 1.7 KWA WANANCHI WALIOPISHA ENEO LA UPANUZI WA CHUO.

Nchimbi Ashauri Matukio ya Oktoba 29 Yasiongelewe Ili Kutokutonesha Vidonda

Nchimbi Ashauri Matukio ya Oktoba 29 Yasiongelewe Ili Kutokutonesha Vidonda

RC MRINDOKO AZINDUA RASMI MRADI WA USAMBAZAJI WA MAJIKO BANIFU MKOANI KATAVI

RC MRINDOKO AZINDUA RASMI MRADI WA USAMBAZAJI WA MAJIKO BANIFU MKOANI KATAVI

SINTOFAHAMU KARIAKOO: NYUMBA ILIYOVUNJWA, SERIKALI KUCHUNGUZA TUHUMA ZA SAINI FEKI

SINTOFAHAMU KARIAKOO: NYUMBA ILIYOVUNJWA, SERIKALI KUCHUNGUZA TUHUMA ZA SAINI FEKI

Белый львенок умолял человека о помощи. И началось невероятное путешествие!

Белый львенок умолял человека о помощи. И началось невероятное путешествие!

MAAFISA MAENDELEO YA JAMII KATAVI WAPEWA NGUVU MPYA KUFUNGUA FURSA ZA ZABUNI KWA MAKUNDI MAALUM

MAAFISA MAENDELEO YA JAMII KATAVI WAPEWA NGUVU MPYA KUFUNGUA FURSA ZA ZABUNI KWA MAKUNDI MAALUM

RC MRINDOKO ASHIRIKI NGUVU KAZI JUENZI WA SHULE MPYA

RC MRINDOKO ASHIRIKI NGUVU KAZI JUENZI WA SHULE MPYA

MBUNGE SHABIBY ACHARUKA BUNGENI,ADAI  AWAMU HII YA SITA KUNA MAFISADI WANAKULA HELA BALAA.

MBUNGE SHABIBY ACHARUKA BUNGENI,ADAI AWAMU HII YA SITA KUNA MAFISADI WANAKULA HELA BALAA.

Внутри самого большого в мире самолета, когда-либо построенного.

Внутри самого большого в мире самолета, когда-либо построенного.

Топ-15 мегапроектов, которые превратят Танзанию в гиганта Восточной Африки

Топ-15 мегапроектов, которые превратят Танзанию в гиганта Восточной Африки

© 2025 ycliper. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: [email protected]