#TAZAMA
Автор: Daily News Digital
Загружено: 2022-05-31
Просмотров: 221
Описание:
SERIKALI imesema haitasita kuwachukulia hatua kali za kisheria maafisa manunuzi wa umma na ugavi watakaokiuka kananuni na taraitibu za manunuzi kwani wamekuwa wakiingizia serikali hasara pindi wanapokwenda kinyume na utaratibu
Kauli hiyo ya serikali imetolewa jijini Dodoma na naibu waziri wa wizara ya fedha na mipango Hamad Hassan Chande wakati wa uzinduzi wa kanuni za maadili kwa watumishi wa umma na wazabuni wanaoshiriki katika shughuki za ununuzi wa umma ambapo amesema kanuni hizo zitaongeza udhibiti
Follow us on:
FACEBOOK;
SpotiLeo: / spotileo-176. .
HabariLeo: / habarileo
DailyNews: / dailynewstz
INSTAGRAM;
HabariLeo: https://instagram.com/habarileo_tz?ig...
SpotiLeo: https://instagram.com/spotileo?igshid...
TWITTER;
Twitter HabariLeo: https://twitter.com/HabariLeo?s=09
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: