Vishoka TISHIO kwenye mfumo wa manunuzi; PPRA yaja na mfumo mpya kuachana na TANePS
Автор: Mwananchi Digital
Загружено: 2023-07-17
Просмотров: 314
Описание:
Vishoka TISHIO kwenye mfumo wa manunuzi; PPRA yaja na mfumo mpya kuachana na TANePS
Mamlaka ya Udhibiti wa Ununuzi wa Umma (PPRA) imesema itaachana na mfumo wa manunuzi unaotumika kwa sasa wa TANePS kufikia mwezi Septemba 2023.
Akizungumza na Waandishi wa Habari jijini Dodoma leo Jumatatu Julai 27, 2023, Mkurugenzi Mkuu wa PPRA, Eliakim Maswi amesema moja ya changamoto kubwa ambayo imekuwa ikiikabili taasisi hiyo ni wanunuzi wasio na uwezo maarufu kama vishoka.
Mfumo huo mpya unatarajiwa kuwa suluhisho la changamoto mbalimbali ikiwemo kucheleweshwa kwa manunuzi.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: