Rushwa inavyopoteza fedha katika manunuzi ya umma
Автор: Daily News Digital
Загружено: 2019-12-03
Просмотров: 195
Описание: Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Dk. Ashatu Kijaji amesema taarifa ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali imeonesha taratibu za ununuzi zinakiukwa bila sababu ya msingi na kusababisha upotevu mkubwa wa fedha za umma jambo ambalo linaendelea kukwamisha jitihada za Serikali, hasa Serikali ya Awamu ya Tano kufikia malengo ya kuifanya Tanzania kuwa nchi ya uchumi wa kipato cha kati, kwa kuwa thamani halisi ya fedha haiwezi kupatikana. Kijaji ameyasema hayo katika kongamano la 10 la wataalam wa manunuzi na ugavi jijini Dodoma.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: