WANACHUO 17 MBARONÌ KWA KUMNG'OA MENO MLINZI
Автор: Daily News Digital
Загружено: 2026-03-07
Просмотров: 73
Описание:
Na Michael Samwel-Tabora
Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Paul Chacha, amethibitisha tukio la wanachuo 17 wa chuo Ardhi Tabora kushikiliwa na jesihi la polisi mkoani humo kwa tuhuma za kumpiga mlinzi ambae jina lake limehifadhiwa hadi kumng'oa Meno manne huku wengine wawili wakikutwa na silaha aina ya kisu katika eneo la bweni lao kinyume na sheria na taratibu za chuo.
Chacha ameagiza uongozi wa chuo hicho kuwasimamisha masomo wanachuo hao pamoja na kuwafungulia mashitaka huku akiwataka wanafunzi wengine kutokuiga wala kufanya vitendo vya uhalifu badala yake wafuate kilicho wapeleka
Follow us on:
FACEBOOK;
SpotiLeo: / spotileo-176. .
HabariLeo: / habarileo
DailyNews: / dailynewstz
INSTAGRAM;
HabariLeo: https://instagram.com/habarileo_tz?ig...
SpotiLeo: https://instagram.com/spotileo?igshid...
TWITTER;
Twitter HabariLeo: https://twitter.com/HabariLeo?s=09
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: