KOROSHO KUPELEKA UTAJIRI KATAVI
Автор: TBConline
Загружено: 2019-12-03
Просмотров: 199
Описание:
Zaidi ya Hekta THELATHINI ELFU zinatarajiwa kupandwa Korosho
msimu huu mpya wa kilimo, Mkoani Katavi, baada ya Kitaru chenye
miche ya Mikorosho zaidi ya LAKI SITA kuwa na matokeo mazuri
Mkuu wa Mkoa wa Katavi, JUMA HOMERA, ametembelea na
kukagua maendeleo ya Kitaru katika eneo la Kabungu wilayani
Tanganyika, na kuwataka wananchi wa Mkoa wa Katavi kuchukua
miche hiyo Bure tayari kwa kupanda zao hilo la Korosho msimu wa
pili sasa.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: