ycliper

Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
Скачать

Kilio cha Wakulima Katavi kwa Serikali//Hakuna Skimu ya Umwagiliaji iliyokwisha kamilika.

Автор: Site Tv Online

Загружено: 2021-06-11

Просмотров: 802

Описание: #NEWS Licha ya Serikali kuwekeza zaidi ya Bilioni 5 kwa ajili ya Skimu tatu za Umwagiliaji zilizopo Wilayani Mpanda ambazo ni Ugala,Mwamkulu na Uruila,Mkoa wa Katavi hauna Skimu iliyokamilika pamoja na kuwa Mpango wa Serikali wa Mwaka 2021/22 ni kuboresha Kilimo cha Umwagiliaji Nchini.

Hayo yanakuja mara baada ya Wakulima katika Kijiji cha Majalila Kata ya Tongwe Wilayani Tanganyika Mkoani Katavi kusikiliza Hotuba aliyoitoa Waziri wa Fedha na Mipango Mhe.Mwigulu Nchemba kuhusu Mpango wa Maendeleo wa Taifa wa Mwaka 2021/22 katika Sekta ya Kilimo kuwa Maeneo yatakayopewa msukumo ni pamoja na ujenzi na ukarabati wa miundombinu ya umwagiliaji.

Kwa Mkoa wa Katavi Serikali ilitenga kiasi cha shilingi Bilioni 5.6 kwa Skimu tatu za Umwagiliaji ambapo Skimu ya Ugalla ilitengewa Sh. Bilioni 1.2, Skimu ya Umwagiliaji ya Mwamkulu ilitengewa Sh. Bilioni 1.6 na Skimu ya Uruila ilitengewa Sh. Bilioni 1.8 lakini bado hazijakamilika.
#SiteNews
#TukutaneSite
#TukutaneKazini

Не удается загрузить Youtube-плеер. Проверьте блокировку Youtube в вашей сети.
Повторяем попытку...
Kilio cha Wakulima Katavi kwa Serikali//Hakuna Skimu ya Umwagiliaji iliyokwisha kamilika.

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио

Похожие видео

MAKALA YA ZAO LA MICHIKICHI KUTOKA TARI KIHINGA MKOA WA KIGOMA

MAKALA YA ZAO LA MICHIKICHI KUTOKA TARI KIHINGA MKOA WA KIGOMA

SHAMBANI | Kilimo cha mpunga kilichoongezewa thamani

SHAMBANI | Kilimo cha mpunga kilichoongezewa thamani

Special delivery for Pinky Hlabedi from the Sernick Group

Special delivery for Pinky Hlabedi from the Sernick Group

WAZIRI MKUU AONYA WANAOINGIZA MIFUGO KWENYE MASHAMBA YA WAKULIMA

WAZIRI MKUU AONYA WANAOINGIZA MIFUGO KWENYE MASHAMBA YA WAKULIMA

KATAVI | MAJI YA AJABU YAZUA GUMZO.

KATAVI | MAJI YA AJABU YAZUA GUMZO.

RAIS SAMIA ALIVYOIGUSA WILAYA YA TANGANYIKA KATIKA MAENDELEO...DED SAHABAN JUMA...

RAIS SAMIA ALIVYOIGUSA WILAYA YA TANGANYIKA KATIKA MAENDELEO...DED SAHABAN JUMA...

SOLD 2320ha Combination Game, Cattle & Irrigation Farm for Sale

SOLD 2320ha Combination Game, Cattle & Irrigation Farm for Sale

KITUO CHA AFYA MISHAMO

KITUO CHA AFYA MISHAMO

Отшельники Урала. 700 км по реке к деревням без электричества, дорог и связи

Отшельники Урала. 700 км по реке к деревням без электричества, дорог и связи

#TBC1: TUME YA UMWAGILIAJI NA JUHUDI ZA KUFANIKISHA MIKAKATI YA SERIKALI YA KUILISHA DUNIA

#TBC1: TUME YA UMWAGILIAJI NA JUHUDI ZA KUFANIKISHA MIKAKATI YA SERIKALI YA KUILISHA DUNIA

TAZAMA FAHARI NA FURSA ZINAZOPATIKANA MPANDA MKOANI KATAVI.

TAZAMA FAHARI NA FURSA ZINAZOPATIKANA MPANDA MKOANI KATAVI.

#TBC SHAMBANI - KESHO BORA | FAHAMU ZAIDI KUHUSU KILIMO CHA MPUNGA

#TBC SHAMBANI - KESHO BORA | FAHAMU ZAIDI KUHUSU KILIMO CHA MPUNGA

Kilimo cha mahindi ya mbegu Iringa

Kilimo cha mahindi ya mbegu Iringa

1 ПРИВЫЧКА ПЕРЕД СНОМ — И ЖИВОТ ИСЧЕЗАЕТ! Висцеральный жир сгорает после 55

1 ПРИВЫЧКА ПЕРЕД СНОМ — И ЖИВОТ ИСЧЕЗАЕТ! Висцеральный жир сгорает после 55

Mitaro ya Umwagiliaji Inavyosaidia Kukuza  Kilimo cha Mpunga Mbarali

Mitaro ya Umwagiliaji Inavyosaidia Kukuza Kilimo cha Mpunga Mbarali

MKURUGENZI WA HOME GROUND HOTEL MKOANI KATAVI AIDADAVUA WIKI YA MWANAKAVI

MKURUGENZI WA HOME GROUND HOTEL MKOANI KATAVI AIDADAVUA WIKI YA MWANAKAVI

MPANDA KUJENGA SOKO la KIMATAIFA KUTATUA KERO za WAFANYABIASHARA

MPANDA KUJENGA SOKO la KIMATAIFA KUTATUA KERO za WAFANYABIASHARA

Mkoa wa Katavi waingia kwenye headline nyingine kubwa.

Mkoa wa Katavi waingia kwenye headline nyingine kubwa.

Mambo muhimu ya kuzingatia kwenye kilimo cha miwa, ukizingatia haya utapata mavuno mengi na faida

Mambo muhimu ya kuzingatia kwenye kilimo cha miwa, ukizingatia haya utapata mavuno mengi na faida

WAKULIMA MPUNGA MBARALI FURAHA TELE, RAHABU RICE MILL KUMALIZA TATIZO TANI 70 KUKOBOLEWA KWA SIKU

WAKULIMA MPUNGA MBARALI FURAHA TELE, RAHABU RICE MILL KUMALIZA TATIZO TANI 70 KUKOBOLEWA KWA SIKU

© 2025 ycliper. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: [email protected]