MTANDAO WA USAFIRISHAJI WAHAMIAJI HARAMU WANASWA MBEYA
Автор: ufmradiotz
Загружено: 2024-05-17
Просмотров: 199
Описание:
Watuhumiwa saba wa mtandao wa biashara ya usafirishaji wahamiaji haramu wamekamatwa mkoani Mbeya kufuatia msako uliofanywa na kikosi kazi maalum cha idara ya uhamiaji kutoka Makao Makuu Dodoma kikishirikiana na cha Mkoa wa Mbeya.
Naibu Afisa Uhamiaji mkoa wa Mbeya, Anold Mrema amesema watu hao wamekamatwa kufuatia msako mkali uliofanywa kwenye mpaka wa Kasumulu wilayani Kyela na katikati mwa jiji la Mbeya baada ya kupata taarifa fiche kutoka kwa raia wema.
#UFMUpdates
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: