WANAWAKE WAHAMASISHWA KUWEKEZA HISA KATIKA MASOKO YA HISA
Автор: ufmradiotz
Загружено: 2026-03-03
Просмотров: 110
Описание:
Meneja wa sheria wa soko la hisa la Dar es Salaam Jackline Kilama amesema kuelekea siku ya wanawake duniani kila mwaka soko la hisa la Dar es Salaam huadhimisha siku hiyo kwa kuhamasisha wanawake kuwekeza hisa katika soko hilo ambapo mwaka huu wanahadhimisha Machi 6.
Mwamala amesema hayo katika #MorningExpress akihamasisha wanawake kuwekeza hasa katika masoko ya hisa kuelekea siku ya wanawake duniani Machi 8, 2026.
#UFMupdates
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: