WAHAMAIAJI HARAMU 51 WAKAMATWA/JE VITA VYA EPHIOPIA VINACHANGIA?
Автор: SAVP TV
Загружено: 2021-12-28
Просмотров: 139
Описание:
Wengi wanaonekana wamekosa matumaini,nyuso za kuhuzunisha na wakati mwingine kulia kabisa,baada ya Polisi-Dodoma,kuwakamata wakitumia gari lenye namba za usajili T-592 katika Kata ya Bereko wilayani Kondoa:
Kwa mujibu wa idara ya uhamiaji ya mwaka 2020 kuna wahamiaji haramu 1300 kutoka Ethiopia wanaoshikiliwa katika maeneo mbalimbali nchini Tanzania.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: