AKAMATWA KWA KUUZA DAWA BANDIA ZA BINADAMU DUKANI KWAKE KAHAMA
Автор: ufmradiotz
Загружено: 2024-05-17
Просмотров: 179
Описание:
Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba (TMDA) Kanda ya Ziwa Magharibi kwa kushirikiana Jeshi la Polisi imemkamata Charles Ngasa kwa tuhuma za kuuza dawa bandia za binadamu dukani kwake kinyume cha sheria, katika Mtaa wa Mwime uliopo Manispaa ya Kahama.
Ngasa amekamatwa katika msako maalumu unaoendeshwa na TMDA na Jeshi la Polisi kwa lengo la kudhibiti dawa bandia pamoja na zilizoisha muda wa matumizi ili kuepuka usugu wa dawa kwa watumiaji na kusababisha madhara kwa wananchi.
#UFMUpdates
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: