ycliper

Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
Скачать

VIONGOZI RUSESA WAPINGA UAMUZI WA KUHAMISHA SHULE, WASEMA WANANCHI HAWAKUSHIRIKISHWA

Автор: STARBORN PICTURES

Загружено: 2026-01-20

Просмотров: 166

Описание: Viongozi wa Kata ya Rusesa wameeleza kulalamikia uamuzi wa Serikali wa kuhamisha shule iliyopo katika kata hiyo bila kushirikisha wala kusikiliza maoni ya wananchi husika.

Wakizungumza kwa nyakati tofauti, viongozi hao wamesema kuwa uamuzi huo umeibua maswali na sintofahamu kubwa miongoni mwa wakazi wa eneo hilo, wakidai kuwa shule hiyo ni muhimu kwa maendeleo ya elimu ya watoto wao.

Wananchi wamesisitiza kuwa hawakushirikishwa katika hatua yoyote ya maamuzi, jambo ambalo linakwenda kinyume na misingi ya utawala bora na ushirikishwaji wa jamii. Viongozi hao wameiomba Serikali kupitia upya uamuzi huo na kutoa nafasi kwa wananchi kutoa maoni yao kabla ya hatua zaidi kuchukuliwa.

Endelea kufuatilia taarifa hii kwa undani zaidi.

Не удается загрузить Youtube-плеер. Проверьте блокировку Youtube в вашей сети.
Повторяем попытку...
VIONGOZI RUSESA WAPINGA UAMUZI WA KUHAMISHA SHULE, WASEMA WANANCHI HAWAKUSHIRIKISHWA

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио

Похожие видео

 VUMA HOLLE TUNAKUPONGEZA. HUU NI WIMBO MAALUM MBUNGE MSTAAFU

AFYA NI UHAI, JIUNGE NA BIMA YA AFYA

AFYA NI UHAI, JIUNGE NA BIMA YA AFYA

Wazee wa Kasulu Wampokea Kenani Kihongosi kwa Vazi la Asili la waha

Mbelwa Chidebwe Apongeza Shirika la Posta Kwa Kusaidia Madawati Shule ya Kigondo

“Tazama Michezo ya Watoto Wenye Mahitaji Maalum – Pamoja na Umoja wa Wafanyakazi Mkoa wa Kigoma.

Coś zabija rosyjskie samoloty... I to nie jest Ukraina

UTATA WA SHULE KUJENGWA NA KUTELEKEZWA _DIWANI AELEZEA MWANZO MWISHO

Shirika la Posta Lakabidhi Madawati 100 Shule ya Msingi Kigondo

Nowa broń Iranu zmienia wojnę? Iron Dome nie powstrzymał rakiet

KENAN KIOHONGOSI  AWACHANI A MISITARI WANANCHI WA KASULU.TAZAMA ALICHO KIFANYA.

RC SIRRO: Awataka Madiwani watambue Nafasi Zao,  kusimamia sheria na haki za wananchi

Pytanie o MILION! Hubert Urbański zaczął wypisywać czek i...

MBELWA AONGEA KWA UCHUNGU MBELE YA WANANCHI SAKATA LA MGOGOLO WA KITARU NA WANANCHI

CGP.  KATUNGU AONGOZA MAMIA YA WAOMBOLEZAJI KUAGA MWILI WA EX.  ASKARI S'SGT SALIM JUMA SWETA

KILINGENI  (SEHEMU YA KWANZA)

KILINGENI (SEHEMU YA KWANZA)

TEAM HAMASA Watikisa Mapokezi ya Kenani Kihongosi Kasulu kwa Hamasa Kubwa na Nguvu ya Wananchi!

KENANI KIHONGOSI AWATAKA WANANCHI KULINDA AMANI YA TAIFA LETU

"Popieram tę decyzję". Mentzen o wecie Nawrockiego ws. SAFE

PIETA ALEX SHANGWE FURAHA MOYONI  official music video directed by starborn

Kupiłem 4 białe kiełbasy z marketu… jedna to prawie oszustwo / Oddaszfartucha

© 2025 ycliper. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: [email protected]