MBELWA AONGEA KWA UCHUNGU MBELE YA WANANCHI SAKATA LA MGOGOLO WA KITARU NA WANANCHI
Автор: STARBORN PICTURES
Загружено: 2026-01-31
Просмотров: 110
Описание:
Mqenyekiti wa CCM Wilaya ya Kasulu Ndg Mbelwa abdallah Chidebwe Amezungumza kwa uchungu mkubwa kuhusu sakata la muwekezaji anayedaiwa kufyeka mazao ya wananchi, hali iliyoibua malalamiko na taharuki miongoni mwa wakazi wa Kasulu.
Wananchi wameeleza madhara waliyopata kutokana na tukio hilo na kuomba hatua za haraka zichukuliwe ili kulinda haki na mali zao.
🎬 Starborn Pictures
📞 0623928811 / 0762363432
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: