KENANI KIHONGOSI AWATAKA WANANCHI KULINDA AMANI YA TAIFA LETU
Автор: STARBORN PICTURES
Загружено: 2026-02-21
Просмотров: 59
Описание:
Akiwa kwenye mkutano na wananchi wa Kasulu, Kenani Kihongosi amesisitiza umuhimu wa kulinda amani, mshikamano na utulivu kwa maendeleo ya jamii.
Ametoa wito kwa wananchi kushirikiana kwa pamoja kuhakikisha mazingira ya amani yanaendelea kudumishwa kwa faida ya kizazi cha sasa na kijacho.
🎬 Starborn Pictures
📞 0623928811 / 0762363432
#Amani #Kasulu #KenaniKihongosi
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: