DW Kiswahili Habari za Ulimwengu | 30.01.2026 | Jioni | Swahili Habari leo | Podcast
Автор: DW Kiswahili
Загружено: 2026-01-31
Просмотров: 7316
Описание:
Miongoni mwa tuliyokuandalia
++Benki Kuu ya Tanzania (BOT) imekanusha taarifa zinazosambaa katika vyanzo mbalimbali vya habari ikiwemo mitandao ya kijamii zinazodai kuwa Tanzania inampango wa kuuza sehemu ya hifadhi yake ya dhahabu yenye thamani ya dola za Marekani bilioni 1.3++Iran yasema iko tayari kufanya mazungumzo ya uwazi na Marekani lakini sio kuhusu uwezo wake wa ulinzi.
++Ujumbe wa Umoja wa Mataifa wakutana na rais Ndayishimiye wa Burundi
#dwkiswahili #DWSwahili #HabariLeo #RipotiNaUchambuzi #TaarifaYaHabari #DWKiswahiliPodcast /Ukitaka kupata habari zetu kila siku, bonyeza 'subscribe' kwenye chaneli yetu ya DW Kiswahili.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: