UCHAMBUZI | Marekani ilichochea maandamano Iran kushinikiza udhibiti wa nyuklia?
Автор: UTV Tanzania
Загружено: 2026-01-30
Просмотров: 3797
Описание:
Hatua ya Rais wa Marekani, Donald Trump kuitaka Iran kuingia katika meza ya mazungumzo kuhusu nyuklia imetafsiriwa na wachambuzi wa siasa za kimataifa kuwa 'ndilo lililokuwa lengo la Marekani' ilipokuwa ikiunga Mkono na kuhamasisha kufanyika kwa maandamano nchini Iran.
Kwa mujibu wa mchambuzi, Ibrahim Rahbi anaeleza kwa kina kile kilichotokea kwa jicho la uchambuzi.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: