DW Kiswahili Habari za Ulimwengu | 29.01.2026 | Jioni | Swahili Habari leo | Podcast
Автор: DW Kiswahili
Загружено: 2026-01-29
Просмотров: 6151
Описание:
Miongoni mwa tuliyokuandalia
++Ujumbe wa Tanzania kwa Papa Leo kuhusu kuombea amani ya nchi hiyo wazusha mjadala
++ Umoja wa Ulaya umetangaza vikwazo dhidi ya maafisa 15 wa Iran, wakiwemo makamanda wa juu na maafisa wa kikosi maalum cha walinzi wa mapinduzi
++Utasikia pia kwa kina tathmini ya adhabu ya CAF kwa timu na wachezaji wa Senegal na Morocco kufuatia taharuki ya mechi ya fainali ya AFCON
#dwkiswahili #DWSwahili #HabariLeo #RipotiNaUchambuzi #TaarifaYaHabari #DWKiswahiliPodcast /Ukitaka kupata habari zetu kila siku, bonyeza 'subscribe' kwenye chaneli yetu ya DW Kiswahili.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: