DW Kiswahili Habari za Ulimwengu | 31.01.2026 | Mchana | Swahili Habari leo | Podcast
Автор: DW Kiswahili
Загружено: 2026-01-31
Просмотров: 5704
Описание:
Miongoni mwa tuliyokuandalia mchana wa leo:
++Marekani yasema “haitovumilia” vitendo visivyo salama vinavyofanywa na Iran katika eneo la Hormuz.
++Maelfu ya watu wameandamana Minneapolis na maeneo mengine Marekani kupinga hatua kali zinazochukuliwa dhidi ya wahamiaji.
++Watu wasiopungua 200 wamekufa baada ya mgodi wa coltan kuporomoka mashariki mwa Congo.
#dwkiswahili #DWSwahili #HabariLeo #RipotiNaUchambuzi #TaarifaYaHabari #DWKiswahiliPodcast /Ukitaka kupata habari zetu kila siku, bonyeza 'subscribe' kwenye chaneli yetu ya DW Kiswahili.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: