Mapadre 5 Walivyozawadiwa Magari na Wanaparokia Jimboni Geita
Автор: Imani Kuu
Загружено: 2026-01-16
Просмотров: 2797
Описание:
Waamini wa Parokia ya Yesu Kristo Mfalme Sengerema, Jimbo Katoliki Geita, wakipeleka zawadi za Magari waliyowaandalia Mapadre wapya wawili na Mapadre wengine watatu wanaohudumu katika Parokia hiyo, akiwemo Paroko.
Tukio lilifanyika Novemba 2024 wakati wa Misa Takatifu ya Upadrisho Parokiani hapo.
Sherehe hiyo iliambatana na shamrashamra mbalimbali zilizoleta furaha katika nyuso za wanaparokia na watu wengine wenye mapenzi mema.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: