Jussa: Sisi hatumo kwenye harakati hizi kutafutiana ulwa kama wao, tunaipigania nchi yetu Zanzibar
Автор: Weyani Tv
Загружено: 2026-02-15
Просмотров: 2248
Описание: Makamu mwenyekiti wa ACT Wazalendo Zanzibar Mhe. Ismail Jussa akihutubia wanachama katika mkutano wa kutoa taarifa kuhusu zoezi linaloendelea la Lusaka suluhu ya mgogoro wa kisiasa Zanzibar baada ya uchaguzi mkuu wa Oktoba 2025. Katika mkutano huo uliofanyika kwenye ukumbi wa Majid Kiembesamaki kisiwani Unguja, Jussa na viongozi wengine wa ngazi za juu wa chama hicho walizungumza na umma. Sikiliza alichokisema katika video hii na utupe maoni yako.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: