Kinachoendelea kwenye mgogoro wa kisiasa Zanzibar, OMO apasua jipu pwaa, mambo hadharani.
Автор: Weyani Tv
Загружено: 2026-02-15
Просмотров: 3748
Описание:
📍Kiembesamaki Unguja
Leo Feb 15, 2026 Mwenyekiti wa ACT Wazalendo Taifa, Ndugu @othmanmasoudothman amesema mazungumzo ya kutafuta suluhu ya mkwamo wa kisiasa Zanzibar yanaendelea.
Ndugu Mwenyekiti amesisitiza kuwa ACT haishiriki kwa ajili ya kugawana madaraka bali kwa madhumuni ya kurekebisha kasoro za mfumo wa uchaguzi ulioleta mgogoro baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025.
Amesema tangu Novemba 8 hadi Februari 3, vikao sita vimefanyika, na msimamo wetu ni kuhakikisha haki ya kuchagua na kuchaguliwa inalindwa kwa mujibu wa Katiba. Pia amesisitiza umuhimu wa utawala wa sheria na uwajibikaji wa taasisi za umma.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: