MASHEIKH! MUANDAMO WA MWEZI WA RAMADHAN SIO LAZIMA UONE KWA MACHO # QURAN
Автор: USTADH HUDHEIFA
Загружено: 2026-02-15
Просмотров: 4124
Описание:
Video hii inachambua maana ya neno "شَهِدَ" ndani ya Qur’an na kubainisha kuwa kuanza kufunga Ramadhan hakuhitaji kuona mwezi kwa macho. Tutatazama aya kwenye surat yusuf na mifano mingine ndani ya Qur’an kuthibitisha maana sahihi ya neno hili. Je, tumekuwa tukilazimishwa tafsiri isiyo sahihi kwa muda mrefu?
#Ramdhan
#Muandamo
#HesabuZaMwezi
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: