MWENYEKITI WA CCM MKOA WA TANGA HII SASA NI SIFA!!!!!!!!!...BODABODA KIGOMBE WAMPA KATA
Автор: CCM MKOA -TANGA TV
Загружено: 2023-10-07
Просмотров: 446
Описание:
Ni ziara ya Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Tanga ya tarehe 07/10/2023 katika Kata ya Kigombe wilayani Muheza, ambako amefanikiwa kufungua vijiwe vya CCM Zaidi ya 10 pamoja na uchangiaji wa shughuli mbalimbali za Maendeleo.
Pamoja na mambo mengine mengi Mwenyekiti wa Mkoa amesimamia upatikanaji wa 'bodaboda' kwa vijana wa Kigombe.
#ccmimara
#kaziiendelee
#mptv
#nyuki
#samiasuluhu
#uvccm
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: