Ziara ya Mwenyekiti CCM Mkoa wa Tanga-Tanga (w)
Автор: CCM MKOA -TANGA TV
Загружено: 2023-06-17
Просмотров: 668
Описание:
Mwenyekiti wa Mkoa wa Tanga Ndg.Rajabu Abrahman Abdallah (MNEC) ziara yake ya kuimarisha chama na kufuatilia utekelezaji wa Ilani ya CCM ya Mwaka 2020-2025.
Hapa akipokelewa na jopo la wananchi,wakereketwa na wanachama wa CCM Jijini Tanga katika kata ya Maweni mwezi Juni 2023.
CCM IMETIMIA NA KAZI IENDELEE
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: