Hii ndiyo sababu wakazi wa Pangani kulilia barabara ya Tanga – Pangani - Bagamoyo
Автор: Azam TV
Загружено: 2018-12-15
Просмотров: 5373
Описание:
Wananchi wa Wilaya ya Pangani wameiomba serikali kuharakisha mchakato wa ujenzi wa barabara ya kutoka Tanga, Pangani, Saadan Mpaka Bagamoyo ili kuepuka adha wanazokumbana nazo kwa sasa.
Wakizungumza na Azam News baadhi ya wananchi hao wamesema barabara ya kutoka Tanga- Pangani imeharibika kiasi kikubwa na kurefusha muda wa safari.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: