Je, Marekani kuishambulia Iran itaathiri vipi amani duniani?
Автор: BBC News Swahili
Загружено: 2026-01-29
Просмотров: 14987
Описание: Rais wa Marekani Donald Trump alituma ujumbe kwa waandamanaji nchini Iran muda mfupi baada ya maandamano ya hivi karibuni kuanza, akisema kuwa "msaada uko njiani." Tangu wakati huo, kumekuwa na ongezeko la taratibu lakini la wazi na kubwa la uwepo wa kijeshi wa Marekani katika eneo la Mashariki ya Kati. Sasa swali linaloulizwa ni je, Marekani inajiandaa kuishambulia tena Iran? #DiraYaDuniaTV
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: