KAMATI YA BUNGE YA ARDHI, MALIASILI NA UTALII YARIDHISHWA NA MRADI WA FARU WEUSI
Автор: TANAPA DIGITAL
Загружено: 2026-03-16
Просмотров: 27
Описание:
Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii yaridhishwa na mradi wa faru weusi na kudadavua;
“Hifadhi ya Taifa Mkomazi ni makazi salama ya faru weusi wanaolindwa kwa umakini mkubwa, na hivyo kuwapa watalii nafasi adhimu ya kushuhudia moja ya wanyama waliokuwa hatarini kutoweka duniani wakiwa katika mazingira yao ya asili. Utalii huu si tu unaleta mapato ya kiuchumi kwa Taifa, bali pia unaongeza uelewa wa umuhimu wa kulinda bioanuai na kuhamasisha jamii na wageni kuthamini na kuhifadhi urithi wa asili kwa vizazi vijavyo.”
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: