Fahamu Mchango wa mila, tamaduni na makatazo yaliyohusisha mizimu katika kuhifadhi maliasili
Автор: TANAPA DIGITAL
Загружено: 2025-10-19
Просмотров: 43
Описание:
Mila,tamaduni na makatazo ya Kabila la Wagongwe lililopo mkoani Katavi lilivyo changia kwa kiasi kikubwa kulinda maliasili na vyanzo vingi vya maji tunavyovishuhudia leo hii. Mathalani; ulikuwa huruhusiwi kukata miti iliyokuwa katika vyanzo vya maji kwa uwepo wa nyoka mkubwa au kuua mnyamapori hadi upewe kibali na pepo au jini Katabi anayepatikana katika Hifadhi ya Taifa Katavi. Usipitwe na simulizi hii ya kuvutia kupitia mfululizo wa Epsode hii ya 13.
Eneo: Hifadhi ya Taifa Katavi
Mwongoza kipindi: Kamishna Msaidizi wa Uhifadhi, Catherine Mbena
Wageni:
1. Moses Edward Tende ( Mtemi Sigulu) Chifu wa Kabila la Wagongwe.
2. Lukas Moses Msaga - Mtoto wa Mtemi Sigulu anayefundishwa kurithi mikoba ya Mtemi Sigulu.
3. Askari Uhifadhi Daraja la Pili - Kimori Shiwa Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Ikolojia, Hifadhi ya Taifa Katavi.
Usikose Jumatatu hii kupitia Platform za TANAPA Podcast.
🏷️ Apple Podcast
🏷️ Amazon Music
🏷️ YouTube Music (zamani Google Podcasts)
🏷️ Spotify na zaidi ya platifomu 15 duniani kote!
TANAPA PODCAST, HIFADHI ZETU, SAUTI YETU.
#TANAPAPodcast #TANAPADigital #tanapaupdates #tanzaniaparks
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: