ycliper

Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
Скачать

WAZIRI KIJAJI - SERIKALI KUTOA BILIONI 8.1 KUKARABATI MIUNDOMBINU SERENGETI

Автор: TANAPA DIGITAL

Загружено: 2026-03-09

Просмотров: 355

Описание: Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt. Ashatu Kijaji (Mb) amesema serikali itatoa shilingi bilioni 8.1 kwa ajili ya matengenezo ya miundombinu ya madaraja na barabara zilizoharibiwa na mvua kubwa zilizonyesha na kusababisha baadhi ya magari ya watalii kukwama kuendelea na safari kwa muda mrefu. Mvua zilizosababishwa na mabadiliko ya Tabianchi.

Waziri Kijaja alitoa kauli hiyo leo machi 08, 2026 katika Hifadhi ya Taifa Serengeti alipofika kujionea athari za uharibifu wa miundombinu hiyo na kuahidi kuchukua hatua za haraka kukabidhi fedha hizo kwa hifadhi hiyo ili matengenezo hayo yaweze kuanza kwa wakati.

Aidha, Dkt. Kijaji aliongeza, “Niwatake waongoza utalii (tour guides) kufuata maelekezo ya askari wa uokoji waliowekwa na TANAPA katika maeneo yote yaliyokumbwa na athari za mvua hizo. Kwani kuvuka madaraja wakati maji yanapita juu ni kuhatarisha usalama wa dereva, watalii pamoja na chombo unachoendesha.”

Sanjari na hilo pia Dkt. Kijaji alikemea tabia za baadhi ya vyombo vya habari na mitandao ya kijamii kurusha taarifa za upotoshaji na zisizothibitishwa ya kuwa Hifadhi ya Taifa Serengeti imezuia safari za watalii ndani ya hifadhi hiyo, kwani kufanya hivyo kunalikosesha taifa mapato, makampuni ya utalii pamoja na mtu mmoja mmoja aliyeajiriwa au kujiajiri katika sekta ya utalii.

Naye, Naibu Kamishana wa Uhifadhi na Maendeleo ya Biashara - TANAPA Massana Mwishawa alitanabaisha kuwa ujio wa Waziri wa Maliasili na Utalii na kuahidi kutoa fedha hizo kutaondoa changamoto hii na kuifanya miundombinu ya hifadhi kupitika mwaka mzima kuwe na mvua za masika au wakati wa kiangazi.

“Ni matumaini yetu kama taasisi matengenezo ya miundombinu hii iliyoharibiwa itakapokamilika itachagiza ongezeko la watalii na kufikia watalii milioni nane ifikapo june 2030 kama maono ya Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassani rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania alivyoelekeza”.

Kamishna Msaidizi wa Uhifadhi na Mkuu wa Hifadhi ya Taifa Serengeti Ismail Omary alisema kuwa baada athari hizo, hifadhi ilichukua hatua za matengenezo ya dharura ya madaraja na barabara hizo ili ziweze kupitika, kuweka ulinzi na kutoa malazi ya dharura hostel na Rest house kwa wageni na madereva.

“Aidha pia kukwamua magari na wageni waliokwama na tulienda mbali zaidi kuondoa tozo za kukaa zaidi (overstay fees) pale ilipoonekana kuchelewa kwao kumetokana na changamoto ya barabara zilizoharibiwa na mvua hiyo”, aliongeza Kamishna Ismail.

Gharama za fedha hizo bilioni 8.16 zitahusisha ujenzi wa madaraja ya Orangi ya juu, Orangi ya chini, Banagi, Bona, vivuko vya Viboko Naabi, Kalvati katika barabara ya Naabi ha Seronera, pamoja na barabara nyingine zilizoharibiwa na mvua hiyo

Не удается загрузить Youtube-плеер. Проверьте блокировку Youtube в вашей сети.
Повторяем попытку...
WAZIRI KIJAJI - SERIKALI KUTOA BILIONI 8.1 KUKARABATI MIUNDOMBINU SERENGETI

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио

Похожие видео

'NIMECHUKIZWA NA MKANDARASI'-RC MRINDOKO

'NIMECHUKIZWA NA MKANDARASI'-RC MRINDOKO

Winnie Odinga apendekezwa kwa nafasi ya uongozi ODM

Winnie Odinga apendekezwa kwa nafasi ya uongozi ODM

KAMATI YA BUNGE YA ARDHI, MALIASILI NA UTALII YARIDHISHWA NA MRADI WA FARU WEUSI

KAMATI YA BUNGE YA ARDHI, MALIASILI NA UTALII YARIDHISHWA NA MRADI WA FARU WEUSI

Гражданская война ODM: конец Сифуны. Винни Одинга присоединяется к враждующей фракции | Plug TV K...

Гражданская война ODM: конец Сифуны. Винни Одинга присоединяется к враждующей фракции | Plug TV K...

Что сказал Джума Локоле на свадьбе Тарика и Джиджи Мани

Что сказал Джума Локоле на свадьбе Тарика и Джиджи Мани

Иран приглашает США и Израиль в ад! Сделка сорвалась – в ход пошло страшное оружие!

Иран приглашает США и Израиль в ад! Сделка сорвалась – в ход пошло страшное оружие!

СТАКАН ТЕПЛОЙ ВОДЫ утром вызывает НЕОБРАТИМЫЕ ПРОЦЕССЫ в организме

СТАКАН ТЕПЛОЙ ВОДЫ утром вызывает НЕОБРАТИМЫЕ ПРОЦЕССЫ в организме

EXPLORE RUAHA NATIONAL PARK - Tanzania’s vast wilderness of wildlife, adventure, and conservation

EXPLORE RUAHA NATIONAL PARK - Tanzania’s vast wilderness of wildlife, adventure, and conservation

Ваикуйю, пробудись!! Никто не сможет победить Руто в 2027 году!! Ваигуру раскрывает секреты попул...

Ваикуйю, пробудись!! Никто не сможет победить Руто в 2027 году!! Ваигуру раскрывает секреты попул...

UZINDUZI WA KLINIKI YA SHERIA BILA MALIPO KWA WANANCHI WA MKOA WA TANGA

UZINDUZI WA KLINIKI YA SHERIA BILA MALIPO KWA WANANCHI WA MKOA WA TANGA

TANAPA PODCAST EPISODE 12 - Zoezi la Uhamishaji Tembo kwenda Hifadhi ya Taifa Burigi - Chato.

TANAPA PODCAST EPISODE 12 - Zoezi la Uhamishaji Tembo kwenda Hifadhi ya Taifa Burigi - Chato.

«Руто Мими не боится, что я раскрою это кенийцам!» — заявил разгневанный депутат Ндинди Ньоро.

«Руто Мими не боится, что я раскрою это кенийцам!» — заявил разгневанный депутат Ндинди Ньоро.

TARANGIRE KUPATA LANGO JIPYA LA MAMIRE

TARANGIRE KUPATA LANGO JIPYA LA MAMIRE

Египет делит Сахару: Гигантская река, которая ИЗМЕНИТ ВСЕ

Египет делит Сахару: Гигантская река, которая ИЗМЕНИТ ВСЕ

WAKULIMA BORA WA PAMBA USO KWA USO NA MHE. RAIS SAMIA SULUHU HASSAN.

WAKULIMA BORA WA PAMBA USO KWA USO NA MHE. RAIS SAMIA SULUHU HASSAN.

SHUHUDIA ULIPOFIKA UJENZI WA UWANJA WA NDEGE SHINYANGA, RC MHITA ATEMBELEA UJENZI WAKE, NDEGE KUBWA.

SHUHUDIA ULIPOFIKA UJENZI WA UWANJA WA NDEGE SHINYANGA, RC MHITA ATEMBELEA UJENZI WAKE, NDEGE KUBWA.

🚨 KABOOM! Ruto EXPLODES on Gachagua & Matiang’i — What REALLY Triggered This Attack? | Lee Makwiny

🚨 KABOOM! Ruto EXPLODES on Gachagua & Matiang’i — What REALLY Triggered This Attack? | Lee Makwiny

⚡️ЯКОВЕНКО: В Москве КИПИШ! Симоньян ИСТЕРИТ В ЭФИРЕ (видео). Лавров СРОЧНО ВЫЛЕЗ с ОБРАЩЕНИЕМ

⚡️ЯКОВЕНКО: В Москве КИПИШ! Симоньян ИСТЕРИТ В ЭФИРЕ (видео). Лавров СРОЧНО ВЫЛЕЗ с ОБРАЩЕНИЕМ

💥АСЛАНЯН: В МОСКВЕ АД! Москвичи на грани восстания! Путин бессилен. Бунт неизбежен

💥АСЛАНЯН: В МОСКВЕ АД! Москвичи на грани восстания! Путин бессилен. Бунт неизбежен

Ваши ногти предупреждают о болезнях — 99% людей это игнорируют

Ваши ногти предупреждают о болезнях — 99% людей это игнорируют

© 2025 ycliper. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: [email protected]