MFAHAMU DENIS NGUESSO ANAYEWANIA URAIS JAMHURI YA CONGO MARA YA NNE, BARUAN MUHUZA AELEZA
Автор: ufmradiotz
Загружено: 2026-03-04
Просмотров: 63
Описание:
Mchambuzi wa siasa za Afrika Baruan Muhuza amesema mgombea Urais wa Jamhuri ya Congo Denis Sassou Nguesso ni mwanajeshi aliyeingia madarakani kwa mapinduzi nchini humo akimpindua Pascal Lissouba ikiwa kwa sasa amejinasibu kushinda uchaguzi wa mwaka huu kwa upinzani mdogo nchini humo.
Muhuza amesema hayo katika #MorningExpress akizungumzia mgombea Urais wa Jamhuri ya Congo Denis Sassou Nguesso kugombea nafai hiyo mara ya nne mfululizo.
#UFMUpdates
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: