ycliper

Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
Скачать

SERIKALI YATARAJIA KUWA NA WATOA HUDUMU WA AFYA NGAZI YA JAMII ZAIDI YA 30,000

Автор: Wizara ya Afya Tanzania

Загружено: 2018-02-28

Просмотров: 4366

Описание: SERIKALI kupitia Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto inatarajia kuwa na watoa huduma wa Afya ngazi ya jamii (CHWz) Zaidi ya 30,000 ifikapo mwaka 2020 katika vijiji Zaidi ya 15,000 nchini.
Hayo yamesemwa leo na Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mh. Ummy Mwalimu katika Mkutano wa Wadau wa Afya, mashirika yasiyo Yakiserikali, na Serikali katika ukumbi wa kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere Jijini Dar es salaam.
“Tunataka itakapofika mwaka 2020, tuwe na angalau Wahudumu wa Afya zaidi ya 30,000 katika vijiji Zaidi ya 15,000 tulivyonavyo Tanzania, Eneo hili tumeliona ni eneo muhimu kwasababu tutapata matokeo ya haraka, ni bora kutumia Bilioni 40 kwa ajili ya kinga ya magonjwa kwa Watanzania .” Alisema Mhe. Ummy Mwalimu.
Mhe. Ummy alisema kuwa lengo la Mkutano huo ni kujadiliana na Wadau wa Maendeleo na Mashirika yasiyo Yakiserikali juu ya kuimarisha huduma ya Afya ya msingi hasa katika kuwakinga wananchi dhidi ya maradhi kupitia mikakati ambayo inakubalika kimataifa ya kuwa na watoa huduma katika ngazi ya jamii.

Не удается загрузить Youtube-плеер. Проверьте блокировку Youtube в вашей сети.
Повторяем попытку...
SERIKALI YATARAJIA KUWA NA WATOA HUDUMU WA AFYA NGAZI YA JAMII ZAIDI YA 30,000

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио

Похожие видео

MAFANIKIO SEKTA YA AFYA HOSPITALI YA RUFAA YA MKOA WA MBEYA

MAFANIKIO SEKTA YA AFYA HOSPITALI YA RUFAA YA MKOA WA MBEYA

Атака на кортеж правительства / Заговор против президента

Атака на кортеж правительства / Заговор против президента

MAFANIKIO SEKTA YA AFYA HOSPITALI YA RUFAA YA MKOA WA LINDI

MAFANIKIO SEKTA YA AFYA HOSPITALI YA RUFAA YA MKOA WA LINDI

HII HAPA TAARIFA KUHUSU MALIPO YA WAFANYAKAXI WA AFYA NGAZI YA JAMII CHW

HII HAPA TAARIFA KUHUSU MALIPO YA WAFANYAKAXI WA AFYA NGAZI YA JAMII CHW

Zapomniane historyczne kadry, które miały nigdy nie ujrzeć światła dziennego

Zapomniane historyczne kadry, które miały nigdy nie ujrzeć światła dziennego

"CONFIDENCE YA MWANAUME NI PESA, RAIS ATUPE WIZARA ITAKAYODILI NA JINSIA YA KIUME" MSAMBATAVANGU

Эпштейн: 10 ловушек, которые вас сломают. Психология влияния Эпштейна. Файлы, остров, манипуляции.

Эпштейн: 10 ловушек, которые вас сломают. Психология влияния Эпштейна. Файлы, остров, манипуляции.

MAFANIKIO SEKTA YA AFYA KATIKA HOSPITALI YA RUFAA YA MKOA WA SIMIYU

MAFANIKIO SEKTA YA AFYA KATIKA HOSPITALI YA RUFAA YA MKOA WA SIMIYU

Mke mwema - Mkemwema choir  (Official Music Video)

Mke mwema - Mkemwema choir (Official Music Video)

WIZARA YA AFYA YAWATAKA WAHUDUMU WA AFYA KUTOA HUDUMA BORA KWA WANANCHI

WIZARA YA AFYA YAWATAKA WAHUDUMU WA AFYA KUTOA HUDUMA BORA KWA WANANCHI

WAZIRI WA AFYA AWAONYA MATAPELI WATAKAOTAKA KUHARIBU MPANGO WA USALAMA WA AFYA KWA WANANCHI

WAZIRI WA AFYA AWAONYA MATAPELI WATAKAOTAKA KUHARIBU MPANGO WA USALAMA WA AFYA KWA WANANCHI

FAIDA ZA KUWA WAKALA WA BIMA / FURSA YA AJIRA

FAIDA ZA KUWA WAKALA WA BIMA / FURSA YA AJIRA

KAMATI YA BUNGE YA AFYA YAFANYA MATENDO YA HURUMA DODOMA-RRH

KAMATI YA BUNGE YA AFYA YAFANYA MATENDO YA HURUMA DODOMA-RRH

Смерть начинается с НОГ. Вот как запустить кровоток!

Смерть начинается с НОГ. Вот как запустить кровоток!

MFAMASIA BORA WA MWAKA TANZANIA PHARMACIST OF THE YEAR

MFAMASIA BORA WA MWAKA TANZANIA PHARMACIST OF THE YEAR

MAFANIKIO SEKTA YA AFYA HOSPITALI YA RUFAA YA MKOA SUMBAWANGA - RUKWA

MAFANIKIO SEKTA YA AFYA HOSPITALI YA RUFAA YA MKOA SUMBAWANGA - RUKWA

MFANYABIASHARA EDA ASIMWE, ALIANGUKA MARA 7 NA KUPATA HASARA KISHA AKAJIPATA NA KUSIMAMA MARA YA 8

MFANYABIASHARA EDA ASIMWE, ALIANGUKA MARA 7 NA KUPATA HASARA KISHA AKAJIPATA NA KUSIMAMA MARA YA 8

SERIKALI YATANGAZA AJIRA 137,294 KWA WAHUDUMU WA AFYA NGAZI YA JAMII, COMMUNITY HEATLTH WORKERS

SERIKALI YATANGAZA AJIRA 137,294 KWA WAHUDUMU WA AFYA NGAZI YA JAMII, COMMUNITY HEATLTH WORKERS

WAZIRI MKUU Mhe  KASSIM MAJALIWA MAJALIWA AKIFUNGUA MKUTANO WA WAFAMASIA DODOMA 2024 #wafamasia

WAZIRI MKUU Mhe KASSIM MAJALIWA MAJALIWA AKIFUNGUA MKUTANO WA WAFAMASIA DODOMA 2024 #wafamasia

IFAHAMU TOSAMAGANGA MPYA_ 2024....tosamaganga documentary_Official_ video

IFAHAMU TOSAMAGANGA MPYA_ 2024....tosamaganga documentary_Official_ video

© 2025 ycliper. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: [email protected]